Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za moto wamevamia duka moja lililopo mtaa WA nkurumah katikati la Jiji la mwanza na kumuua mama mmoja mwenye hasili ya kihindi kisha kupora kiasi cha pesa ambacho hakijajulikana bado duka Hilo ni bidhaa mchanganyiko yani mini super market pia hutoa huduma kwa njia ya mtandao ya simu za mkonon
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni