Calisah amefunguka kwa kusema kuwa ni yeye au wema sepetu ndio waliovujisha video inaowaonesha wakilana denda. Siku chache zilizopita mwanamitindo huyo wa kiume alikamatwa na polisi kwa kosa la kudaiwa kusambaza kipande hicho cha video lakini badae aliachiwa. Akiongea na kipindi cha campus vibes cha times fm amesema nilienda kwa wema tukawa tunaongea vizuri tu najaribu kumuelezea lakini hata yeye alishangaa kuona polisi wameingia si yeye ni wapambe wake ndio walienda kituoni wabeba pochi tu tena afadhali wangekuwa wanawake ila kumbe walikuwa ni wanaume.
mamublog
Ijumaa, 18 Novemba 2016
Nisha Alia tena amfungukia baba kijacho
Staa WA bongo move nisha kwa mara nyingine tena ametoa kilio chake kwa mwanaume aliye mbebesha ujauzito hivi sasa na kuachana nae. Nisha ambae hadi Muda huu anasimama yeye kama yeye kuhusu ujauzito wake alisema kwenye ukulasa WA instagram kuwa atamtetea mtoto atakae mzaa kama alivyo mlea mtoto wake wa kwanza. Alisema kuwa mwanzo nilisema Okey nitashinda but siku najua atahitaji kukujua kikubwa zaidi upo kwenye dunia ya kutazamwa, atakutazama na atakusikia ila I PROMISE YOU kama usivyojua kama hii ni yako au ya mwenzako I PROMISE YOU NI SIRI NTAKAYOKUFA NAYO na kwa bahati nzuri ujumbe unawahusu nyote so tesekeni kujiuliza kama mm ninavyoteseka usiku mwenyewe as long as IPTY SAM nimemlea mwenyewe na huyu ni wakwangu Mwenyewe GOD BLESS YOU. Nisha aliandika mtandaoni na kuweka picha kuonyesha tumbo lake
Watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wavamia dukani mwanza na kumuua mama WA kihindi kwa Risasi.
Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za moto wamevamia duka moja lililopo mtaa WA nkurumah katikati la Jiji la mwanza na kumuua mama mmoja mwenye hasili ya kihindi kisha kupora kiasi cha pesa ambacho hakijajulikana bado duka Hilo ni bidhaa mchanganyiko yani mini super market pia hutoa huduma kwa njia ya mtandao ya simu za mkonon
TRA yaongeza Muda wa kuboresha taarifa za walipa kodi hadi January 2017
Mamlaka ya mapato tanzania (TRA) inapenda kuwashukuru wakazi wa Dar es salaam kwa kushiriki katika zoezi la uhakiki namba ya mtambulisho mlipa kod i(TIN). Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi katika huakiki taarifa zao Mamlaka imeamua kuongeza Muda wa uhakiki had tarehe 31 January 2017 pamoja na kuongeza Muda wa uhakiki Mamlaka pia imeongeza vituo vya huakiki
Tamasha LA tano LA siku mbili LA watu wenye ulemavu lafungwa leo jijini dar
Afisa mradi kitengo cha kujenga uwezo kutoka shirika lisilo la kiserikali la The foundation for civil society Nasim losai akitoa mada wakati wa ufungaji WA tamasha la tano la watu wenye ulemavu lililoanza jana November 16. 2016 kwenye hotel ya blue pearl ubungo Plaza jijini dar es salaam. Tamasha hilo limefungwa hii leo. Mfufunz mwelekezaji salma maoulid akisimamia zoezi LA maswali na majibu wakati wa kufunga tamasha la tano la watu wenye ulemavu lililoanza jana kwenye hotel ya blue pearl ubungo Plaza jijini dar es salaam
Taasisi ya vijana ya TYVA na IRI zatoa mafunzo kwa vijana kuhusu mchakato WA mabadiliko ya katiba katika wilaya ya nne
Mwenyekiti WA jukwaa LA katiba tanzania bw Deus kibamba akitoa elimu kuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba November 18. 2016 pamoja na historia ya mchakato huo kwa vijana na WA wilaya ya chamwino mkoani dodoma. Afisa wa IRI Tony Alfred akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya mchakato WA mabadiliko ya katiba kwa vijana vijana na wilaya ya chawino mkoani dodoma.
Alhamisi, 17 Novemba 2016
Janet Jackson kumpa mtoto wake jina linalofanana na Michael Jackson kama LA marehem Kaka Yake
November 17.2016 jina LA mfalme WA pop Michael Jackson litaendelea kuishi kwenye mdomo na mawazo yetu baaada ya kuibuka kwa tetesi kuwa mtoto WA Janet Jackson atapewa jina Hilo