Ijumaa, 18 Novemba 2016

Tamasha LA tano LA siku mbili LA watu wenye ulemavu lafungwa leo jijini dar

Afisa mradi kitengo cha kujenga uwezo kutoka shirika lisilo la kiserikali la The foundation for civil society Nasim losai akitoa mada wakati wa ufungaji WA tamasha la tano la watu wenye ulemavu lililoanza jana November 16. 2016 kwenye hotel ya blue pearl ubungo Plaza jijini dar es salaam. Tamasha hilo limefungwa hii leo. Mfufunz mwelekezaji salma maoulid akisimamia zoezi LA maswali na majibu wakati wa kufunga tamasha la tano la watu wenye ulemavu lililoanza jana kwenye hotel ya blue pearl ubungo Plaza jijini dar es salaam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni