Mamlaka ya mapato tanzania (TRA) inapenda kuwashukuru wakazi wa Dar es salaam kwa kushiriki katika zoezi la uhakiki namba ya mtambulisho mlipa kod i(TIN). Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi katika huakiki taarifa zao Mamlaka imeamua kuongeza Muda wa uhakiki had tarehe 31 January 2017 pamoja na kuongeza Muda wa uhakiki Mamlaka pia imeongeza vituo vya huakiki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni