Staa WA bongo move nisha kwa mara nyingine tena ametoa kilio chake kwa mwanaume aliye mbebesha ujauzito hivi sasa na kuachana nae. Nisha ambae hadi Muda huu anasimama yeye kama yeye kuhusu ujauzito wake alisema kwenye ukulasa WA instagram kuwa atamtetea mtoto atakae mzaa kama alivyo mlea mtoto wake wa kwanza. Alisema kuwa mwanzo nilisema Okey nitashinda but siku najua atahitaji kukujua kikubwa zaidi upo kwenye dunia ya kutazamwa, atakutazama na atakusikia ila I PROMISE YOU kama usivyojua kama hii ni yako au ya mwenzako I PROMISE YOU NI SIRI NTAKAYOKUFA NAYO na kwa bahati nzuri ujumbe unawahusu nyote so tesekeni kujiuliza kama mm ninavyoteseka usiku mwenyewe as long as IPTY SAM nimemlea mwenyewe na huyu ni wakwangu Mwenyewe GOD BLESS YOU. Nisha aliandika mtandaoni na kuweka picha kuonyesha tumbo lake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni