Kijana Baraka eliasi (35) mwenye urefu wafuti 7.4 ambaye ameshindwa kufanyiwa matibabu yakubadilishwa nyonga katika taasisi ya tiba ya mifupa na mishipa ya fahamu (moi) amevunja ukimya na kueleza changa moto zilizosababisha ashindwe kupata matibabu hayo ni kutokana na urefu wake usiokuwa WA kawaida
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni