Ijumaa, 18 Novemba 2016

Calisah kama sio mimi ni wema aliye vujisha video

Calisah amefunguka kwa kusema kuwa ni yeye au wema sepetu ndio waliovujisha video inaowaonesha wakilana denda. Siku chache zilizopita mwanamitindo huyo wa kiume alikamatwa na polisi kwa kosa la kudaiwa kusambaza kipande hicho cha video lakini badae aliachiwa.       Akiongea na kipindi cha campus vibes cha times fm amesema nilienda kwa wema tukawa tunaongea vizuri tu najaribu kumuelezea lakini hata yeye alishangaa kuona polisi wameingia si yeye ni wapambe wake ndio walienda kituoni wabeba pochi tu tena afadhali wangekuwa wanawake ila kumbe walikuwa ni wanaume.

Nisha Alia tena amfungukia baba kijacho

Staa WA bongo move nisha kwa mara nyingine tena ametoa kilio chake kwa mwanaume aliye mbebesha ujauzito hivi sasa na kuachana nae. Nisha ambae hadi Muda huu anasimama yeye kama yeye kuhusu ujauzito wake alisema kwenye ukulasa WA instagram kuwa atamtetea mtoto atakae mzaa kama alivyo mlea mtoto wake wa kwanza.                                                    Alisema kuwa mwanzo nilisema Okey nitashinda but siku najua atahitaji kukujua kikubwa zaidi upo kwenye dunia ya kutazamwa, atakutazama na atakusikia ila I PROMISE YOU kama usivyojua kama hii ni yako au ya mwenzako I PROMISE YOU NI SIRI NTAKAYOKUFA NAYO na kwa bahati nzuri ujumbe unawahusu nyote so tesekeni kujiuliza kama mm ninavyoteseka usiku mwenyewe as long as IPTY SAM nimemlea mwenyewe na huyu ni wakwangu Mwenyewe GOD BLESS YOU. Nisha aliandika mtandaoni na kuweka picha kuonyesha tumbo lake

Watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wavamia dukani mwanza na kumuua mama WA kihindi kwa Risasi.

Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za moto wamevamia duka moja lililopo mtaa WA nkurumah katikati la Jiji la mwanza na kumuua mama mmoja mwenye hasili ya kihindi kisha kupora kiasi cha pesa ambacho hakijajulikana bado duka Hilo ni bidhaa mchanganyiko yani mini super market pia hutoa huduma kwa njia ya mtandao ya simu za mkonon

TRA yaongeza Muda wa kuboresha taarifa za walipa kodi hadi January 2017

Mamlaka ya mapato tanzania (TRA) inapenda kuwashukuru wakazi wa Dar es salaam kwa kushiriki katika zoezi la uhakiki namba ya mtambulisho mlipa kod i(TIN). Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi katika huakiki taarifa zao Mamlaka imeamua kuongeza Muda wa uhakiki had tarehe 31 January 2017 pamoja na kuongeza Muda wa uhakiki Mamlaka pia imeongeza vituo vya huakiki

Tamasha LA tano LA siku mbili LA watu wenye ulemavu lafungwa leo jijini dar

Afisa mradi kitengo cha kujenga uwezo kutoka shirika lisilo la kiserikali la The foundation for civil society Nasim losai akitoa mada wakati wa ufungaji WA tamasha la tano la watu wenye ulemavu lililoanza jana November 16. 2016 kwenye hotel ya blue pearl ubungo Plaza jijini dar es salaam. Tamasha hilo limefungwa hii leo. Mfufunz mwelekezaji salma maoulid akisimamia zoezi LA maswali na majibu wakati wa kufunga tamasha la tano la watu wenye ulemavu lililoanza jana kwenye hotel ya blue pearl ubungo Plaza jijini dar es salaam

Taasisi ya vijana ya TYVA na IRI zatoa mafunzo kwa vijana kuhusu mchakato WA mabadiliko ya katiba katika wilaya ya nne

Mwenyekiti WA jukwaa LA katiba tanzania bw Deus kibamba akitoa elimu kuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba November 18. 2016 pamoja na historia ya mchakato huo kwa vijana na WA wilaya ya chamwino mkoani dodoma. Afisa wa IRI Tony Alfred akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya mchakato WA mabadiliko ya katiba kwa vijana vijana na wilaya ya chawino mkoani dodoma.

Alhamisi, 17 Novemba 2016

Janet Jackson kumpa mtoto wake jina linalofanana na Michael Jackson kama LA marehem Kaka Yake

November 17.2016 jina LA mfalme WA pop Michael Jackson litaendelea kuishi kwenye mdomo na mawazo yetu baaada ya kuibuka kwa tetesi kuwa mtoto WA Janet Jackson atapewa jina Hilo

Raymond na atuhumiwa na mistari

Raymond atuhumiwa kuiba baadhi ya mistari kwenye wimbo WA msanii WA singeri

Mtaalamu wa Rnb Ben pol afunguka

Ben pol kufunga mwaka kivingine baaada ya kusitisha kuachia albamu

Kalamati Lobo

Hii ni kati ya filamu kubwa ya zile ambazo zipo sokon, filamu inaonyesha changa moto za kimaisha ya kila siku ukosefu WA ajira, manyanyaso, kutoka kwawaajiri, udanganyifu, Tamaa.hii filamu iko tofaut na nyinginezo ambazo tumewai kuziona kutokana na Jacob stephano (JB) na Diana kimaro ambao wameicheza kwa ustadi.

Kijana aliye kosa matibabu moi kutokana na urefu wake afunguka

Kijana Baraka eliasi (35) mwenye urefu wafuti 7.4 ambaye ameshindwa kufanyiwa matibabu yakubadilishwa nyonga katika taasisi ya tiba ya mifupa na mishipa ya fahamu (moi) amevunja ukimya na kueleza changa moto zilizosababisha ashindwe kupata matibabu hayo ni kutokana na urefu wake   usiokuwa WA kawaida

Raisi Magufuli atia saini Sheria ya huma za Habari ya Mwaka 2016

Taarifa iliyotolewa na mkurugenzi WA mawasiliano ya Raisi, ikulu, Gerson msigwa imeeleza kuwa raisi Magufuli amesaini Sheria hiyo jana tarehe 16.11.2016 na kuwapongeza wadau wote kwa kufanikisha kutungwa kwake

Miss Tanzanian mwaka 2016mwanzo mwisho

Fainal ya miss tanzania 2016 imefanyika kwenye Jiji LA mwanza toka kuanzishwa kwa mashindano hayo miaka zaid ya 20 iliyopita, miss tanzania2016 ametangazwa kuwa ni Diana lukumal.

Kumbuku

Kifo cha shujaa wetu, mtu WA watu alfonce mawazo kilichotokea tarehe 14.11.2015 aliuwawa kwa kukatwa katwa na mapanga

Jumatano, 16 Novemba 2016

Tumsifu yesu kristo

Kufanikiwa ni ushindi WA upinzan usiogope upinzani ninaona unashinda roho ya upinzan na unapokea baraka kubwa kwa jina LA yesu kristo