Calisah amefunguka kwa kusema kuwa ni yeye au wema sepetu ndio waliovujisha video inaowaonesha wakilana denda. Siku chache zilizopita mwanamitindo huyo wa kiume alikamatwa na polisi kwa kosa la kudaiwa kusambaza kipande hicho cha video lakini badae aliachiwa. Akiongea na kipindi cha campus vibes cha times fm amesema nilienda kwa wema tukawa tunaongea vizuri tu najaribu kumuelezea lakini hata yeye alishangaa kuona polisi wameingia si yeye ni wapambe wake ndio walienda kituoni wabeba pochi tu tena afadhali wangekuwa wanawake ila kumbe walikuwa ni wanaume.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni